21.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Description
nyumba inauzwa ipo kitunda kivure kwa wamakonde nyumba ya vyumba 3 vya kulala daingiroom stingiroom stoo kicheni master toilet public nyumba mpya nyumba ina fremu chumba 4 nyumba umeme upo maji yapo nyumba bei ml 50
Chat with Dalali K.
Call Dalali K.