Description
Nyumba inavyumba vi5 vya kulala vyumba vi2 master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet eneo lake ni sqm 800 nyumba ipo Kilometer 3 kutoka morogoro road, njoo ukague tufanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,000/=