Description
NYUMBA INAUZWA IPO AREA FIVE MOROGORO MJININYUMBA IPO ENEO ZURI NA LINALOFIKIKAIPO MITA 500 KUTOKA BARABARA YA LAMINI NYUMBA YA KISASA NA INA VYUMBA VITATU VYA KULALA NA VYOTE NI MASTER, SEBULE KUBWA YENYE DINING NA SITTING ROOM, STORE KUBWA NA PUBLIC TOILET PIA KUNA SEVERT KOTA AMBAZO HAZIJAKAMILIKANYUMBA IPO NDANI YA FENCE NA IPO KWENYE KIWANJA KILICHOPIMWAUKUBWA WA UWANJA NI QUARE METER 100BEI NI MILIONI MIA MBILI(200, 000, 000)KWA MAELEZO ZAIDI0752481398 /0714444838