09.05.2020Tanzania, Pwani

NYUMBA INAUZWA-INAHITAJI FINISHING

TZS 45 000 000

Description

MAELEZO MAHALI: MWANDEGE-CHATEMBO 1. Vyumba vinne-(Kimoja Master), sitting room, dinning room, kitchen, common toilets mbili, n.k 2. Ukubwa wa Kiwanja: futi 70 kwa futi 60 3. Document ya Umiliki: Sales Agreement 4. Umbali: kutoka kwa Amadoli 2km Umbali toka Njia panda ya Chatembo: 1.5km

Estate Professional Brokers

Member since 2018.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Pwani