Details
Description
Lipo karibu na kituo cha basi FOMA. Jengo ni ghorofa lenye floor mbili yani ground floor na upper floor. Floor zote mbili zina fanana kwa muundo zina 1. Vyumba 3, Kimoja master. 2. Public toilet and washroom. 3. Dining 4. Sitting room 5. Kitchen & Cabinets Jengo lina; – Maji ya bomba na kisima – Umeme – Fence na geti – Chumba cha ofisi ndogo nje – Parking Mazingira ni tulivu sana