23.11.2021Tanzania, Dar Es Salaam

NYUMBA INAUZWA GOBA

TZS 300 000 000

Description

Nyumba inauzwa milioni 300 maongezi yapo ipo goba Nyumba inavyumba vinne wiwili ni master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 800 document TITLE DEED umbali mita 400 kutoka lami

Noordin

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam