Description
Nyumba ipo goba ni nyumba ya kisasa kabisa ina vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki magari yako bei ni milioni 130 Maongezi kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948