Description
Nyumba inauzwa kwa Bei Nafuu Mahali -Goba Njia nne Barabara ya kuelekea Tegeta Umbali- Mita 350 kutoka Barabara kuu ya lami. Sifa za kiwanja: Kiwanja kina Hati miliki Ukubwa wa kiwanja ni mita za mraba 1400. Sifa za Nyumba Ndani: Ina sebule kubwa ya kisasa,Jiko la ndani la kisasa, Sehemu ya kulia ya kisasa , Vyumba vinne vya kulala vyote vikubwa sana,Vyumba Viwili vina vyoo ndani na Viwili kawaida, Stoo ndogo ya ndani na Vyoo Viwili vya Pamoja vya ndani. Vyumba vyote na sebule vina AC na Mabafu yote ya kuoga na jikoni kuna Hita za maji ya moto. Sifa za Nyumba Nje: Ina Bustani mbili ya mbele na nyuma ya Nyumba,Ina Nyumba ndogo ya Nje yenye chumba kimoja cha kulala, Jiko,Stoo ndogo,choo na bafu la nje, Ina Tanki ya chini ya kuhifadhia maji lita 80 na ina sehemu ya kupumzika kama Min bar Ndogo ya makuti, Pia Eneo lote Limewekwa Pavement. Bei ni Tsh270,000,000/= ID:Bosco Kwa Maelezo Zaidi Tembelea Tovuti yetu https://brbuyandsell.co.tz