Details
Description
Nyumba ipo makulu stand, Nyumba ni ya tatu kutokea barabara ya lami na zipo mbili ndani ya kiwanja kimoja. Zimejengwa vizuri na pia zinafaa kwa biashara ya upangishaji au makazi binafsi, Wasiliana nasi kwa uhitaji wa nyumba nyingine nzuri na bora kwa bei nafuu