Description
UNAPATA NYUMBA KWA BEI NAFUU SANA CHANIKA MWISHO MJINI KWA TSHG MIL 15,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 400 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA