Description
KWA MHUTAJI WA NYUMBA HII IPO MJINI CHANIKA NYEBURU DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 35,000,000 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM PIA KINA FREMU MOJA YA DUKA IKO MTAA MZURI KIMAKAZI NA KIBIASHARA UMBALI TOKA STENDI DK 3