Description
Nyumba Inauzwa MAHALI: Chanika Nyebure Shule 1. Nyumba ina vyumba vitatu, choo cha ndani, sebure, kuna nafasi kubwa ya kiwanja mbele na nyuma ya nyumba, n.k 2. Ukubwa wa Kiwanja: 24 mita kwa 50 mita 3. Umiliki: Serikali za Mitaa 4. Gharama za Kupelekwa Site Elfu 20