Description
NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 38 UKUBWA ENEO SQM 500 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM UMEME UPO MAJI YAPO HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA