Description
NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA OFISINI KWETU CHANIKA MWISHO STENDI. KWA TSHG MIL 26,000,000/= UKUBWA WA ENEO SQM 400 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA.