Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 33,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 400 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KAMA VILE - SHULE - UMEME - MAJI - HOSPITAL - MAKANISA - MISIKITI NK WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA