Description
NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA OFFICE YETU INAPATIKANA CHANIKA MWISHO STENDI. NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM KWA TSHG MIL 28,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 400 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA KAMA VILE SHULE - UMEME - MAJI - HOSPITAL - BARABARA NK KWA HUDUMA ZA KUNUNUA NYUMBA TEMBELEA OFFICE YETU TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA.