Description
NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM TANZANIA ?? KWA TSHG MIL 8,500,000/= MIL 8.5 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA NYUMBA INA VYUMBA VIWILI 2 NA SITTING ROOM PIA SHIMO LA CHOO TAYARI ( KALO ) HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI SANA NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA. OFFICE YETU INAPATIKANA CHANIKA MWISHO STENDI.