Description
NYUMBA YA KUANZIA MAISHA INA VYUMBA VIWILI 2 NA SITTING ROOM KALO TAYARI LIPO LIMESHACHIMBWA. NYUMBA INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA UKUBWA WA ENEO SQM 350 NJOO TUKUHUDUMIE KWA UAMINIFU MKUBWA SANA OFFICE YETU INAPATIKANA CHANIKA MWISHO MJINI.