Description
TEMBELEA OFISINI KWETU CHANIKA MWISHO STENDI KWA TSHG MIL 55,000,000/= NYUMBA INAUZWA CHANIKA MWISHO MANISPAA YA ILALA DAR ES SALAAM INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA JIRANI NYUMBA INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA WOTE MNAKARIBISHWA SANA BADO IPO WAHI MTEJA