Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI KWA TSHG MIL 33,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 400 INA VYUMBA VITATU 3 VYA KULALA CHUMBA KIMOJA KINA MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZIPO JIRANI SANA WOTE MNAKARIBISHWA SANA NJOO UKAGUE NYUMBA TUMALIZE BIASHARA