Description
NYUMBA YA KISASA INAUZWA CHANIKA MWISHO MJINI KWA TSHG MIL 80,000,000/= UKUBWA ENEO SQM 800 INA DOCUMENT YA MAUZIANO YA OFFICE YA SERIKALI YA MTAA INA VYUMBA VINNE 4 VYA KULALA VYUMBA 2 NI MASTER BEDROOM DINNING ROOM PUBLIC TOILET JIKO NA SITTING ROOM INA FULL SECURITY WIRE INA FENSI YA KISASA UMEME UPO MAJI YAPO HUDUMA ZOTE ZA KIJAMII ZINAPATIKANA UMBALI TOKA STENDI DK 3 KWA KUTEMBEA KWA MIGUU