Description
nyumba Inauzwa ipo chanika mwisho inavyumba 2 na sebule inaeneo kubwa sana la kujidai SQM 400 ipo seem mzury sana kwa makazi huduma za kijamii hupatikana kwa wepesi sana kama maji ndio hapohapo kama wewe ni mteja muitaji nyumba hii sio ya kukosa pg sm 0672747232