29.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam
Description
*Nyumba Mpya kabisa ipo BUNJU MIANZINI,* yaani wewe ndo unaizindua na kuingia ndani. Ina vyumba viwili (2) vyote master room. Ukubwa wa kiwanja ni 500sqm, hati ni ya kuprocess kwa jina lako mwenyew. Bei ni Tsh 120 million.
Chat with Emmanuel Maembe
Call Emmanuel Maembe