Description
Nyumba ya kisasa inauzwa milioni 160 pamoja features zake Nyumba ipo umbali wa mita 400 kutoka bagamoyo Road// Nyumba inavyumba vitatu kati ya hivyo vyumba viwili ni master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 800 document TITLE DEED // services changer ya kupelekwa kuona nyumba ni elfu 20000/=