09.07.2022Dar es Salaam

Nyumba Inauzwa bei ya kutupa

TZS 26 000 000

Description

Nyumba ipo Mbagala chamazi ni nyumba ya vyumba vitatu vya kulala ikiwemo master bedroom moja ina jiko Dina na seeting room kubwa ina uwanja wa kutosha kupaki gari lako pia ina umeme na maji yapo kwa maelezo zaidi tupigie simu 0653204486 au 0687034948 gharama ya kupelekwa kwenye nyumba ni shilingi elfu 20 karibu sana

John

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam