17.02.2022Tanzania

Nyumba ina uzwa kigamboni

TZS 180 000 000

Description

Nyumba inauzwa ina vyumba4 ina masta seble jiko sehem ya kulia chakula stoo choo cha pablec kisima cha maji umeme upo ina sola ina sqm 160 nyumba ipo kigamboni muembe mtengu inauzwa milioni 180 kutoka balabala ya lami ni dk 10 tu gal ina fika mpaka hap nicheki whatsap 0623773503

Rushaz

Member since 2022.
xxx xxx xxx xxx

User

Location