Nyumba hihapa ina uzwa ipo mbagala chamazi azam complex
TZS 45 000 000
Description
Tangazo wadau wangu wa nguvu nyumba hihapa ina uzwa ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata bamia ina room nne ina master sittingi room dainingi room maji umeme