19.05.2022Tanzania, Dar Es Salaam

Nyumba hihapa ina uzwa bei ya kutupa

TZS 18 000 000

Description

Nyumba hihapa ina uzwa ipo dar es salaam wilaya temeke jimbo la mbagala manispa ya temeke kata chamazi mta vigoa ina room tatu maji umeme ipo eneo zur sana sio ya kukosa bei sawa na bure kabisa mteja fanya uje ukague nyumba asante

AbdallahHakweya1

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar Es Salaam