23.01.2025Dar es Salaam

NYUMBA/BANDA CHAMAZI TSH.59MIL

TZS 59 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
700 m2

Description

Hapa kuna nyumba kubwa inayojitegemea, ambayo ina vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani. Pia kuna Banda lenye vyumba 5 nyuma. Kiwanja kina ukubwa wa SQM.700. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo ni MBAGALA CHAMAZI. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________rr Ukihitaji kukagua taarifa mapema.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam