Details
Description
Hizi ni Apartments 5 za kisasa. Kila moja ina jumla ya vyumba vya kulala 2. Kati ya vyumba hivyo kuna Masta 1, Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani. Ndani ya Fensi na kuna Kisima. Eneo ni UKONGA, MOMBASA/MOSHI BAR. Maarufu KWAMKOLEMBA. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskvl Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.