28.02.2025Dar es Salaam

NYUMBA 4 PAMOJA KWAMATHIAS

TZS 130 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
4450 m2

Description

Nyumba NNE nzuri katika Kiwanja kimoja. Ni umbali wa kikomita 1.5 tu kutoka Barabara ya Morogoro. Kiwanja ukubwa ni SQM. 4,450 Umiliki ni OFA. LNdani ya Fensi na huduma za Umeme na Maji zipo. Nyumba moja ina jumla ya vyumba 4 (2 Vyoo ndani) Nyingine 3 zimejengwa mfumo wa Ghala. Hata hivyo, unaweza kukata vyumba ukapangisha au kufaa kwa Shughuli kama Shule, Zahanati, Lodge nk. WAHI BEI IMEPOROMOSHWA KUKIDHI DHAARULA ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. ___mpg

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam