Details
Description
Hizi ni nyumba 4 katika Kiwanja kimoja. Eneo ni mita chache tu kutoka Barabara ya Lami. KINYEREZI MBUYUNI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 750. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Nyumba 3 zilizopo kila moja ina vyumba 3 (Masta 1) Sebule,Jiko na Choo cha Familia ndani. Nyumba moja imeishia kwenye hatua ya kuweka Linta. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ___mpg Kuona nijulishe mapema