23.05.2024Dar es Salaam

NYUMBA 2-PAMOJA,PUGU KINYAMWEZ

TZS 110 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1000 m2

Description

Nyumba mbili nzuri ZAKUHAMIA, katika Kiwanja kimoja. Zinauzwa kwa Bei rafiki ya Tshs.110M (Milioni Mia Moja na Kumi ) kwa zote. Zipo PUGU KINYAMWEZI, ILALA DAR ES SALAAM. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO Kubwa Ina vyumba 4 (3 Masta) Ya-pili Ina Vyumba 2 (Masta 1) Kila nyumba Ina pia Sebule, Jiko, Dining-room, Store na Choo cha Familia ndani. Parking ipo ya kutosha. _______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe Mnunuzi)

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam