24.02.2025Dar es Salaam

NYUMBA-2 PAMOJA KWADIWANI

TZS 55 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
450 m2

Description

Hizi ni nyumba mbili nzuri ndani ya Fensi. Zipo KWADIWANI, BOMBAMBILI-UKONGA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 450. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Moja ina vyumba 4. Na nyingine ina vyumba 3. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. ________mskv Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam