31.01.2022Tanzania, Dodoma

NAUZA NYUMBA UDOM NG'ONG'ONA

TZS 30 000 000

Description

Nyumba ziko tatu mbili zimekamilika moja ni pagale umeme upo Kiwanja ni kikubwa 800M² Bei 30M tu, nichek Whatsapp tuongee vizuri Panafaa sana kuna WAPANGAJI wengi wanachuo

Mr lee

Member since 2020.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dodoma