Description
NYUMBA HII NDANI YA FENCE ZIPO NYUMBA MBILI, KUBWA INAVYUMBA VITATU NA NDOGO INA VYUMBA VIWILI, PIA INA FRAME ZA BIASHARA 3. KIWANJA KINA SQM 700, BEI MAONGEZI YA PUNGUZO YAPO, 1KM KUTOKA BAGAMOYO ROAD, NYUMBA INATIZAMA BARABARA KUBWA YA MTAA ULIO JAA WAFANYA BIASHARA.