Details
Description
Nyumba mpya ya kisasa ambayo Umiliki wake ni HATI ( Title Deed) ya Wizara. Ni nyumba ya KUHAMIA. Ipo KIBADA, KIGAMBONI. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 800. ___ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu) ___mpg Vyumba vya kulala 3 ( 2 Vyoo ndani) Pia kuna Sebule, Jiko, Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Parking ipo ya kutosha na yenye Paving. Ukihitaji kuikagua taarifa mapema plse