13.02.2025Dar es Salaam

MPYA YA MAANA MZAMBARAUNI

TZS 110 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
600 m2

Description

Hii ni nyumba nzuri ya kisasa. Inavutia na inapendeza. NI YAKUHAMIA. IPO MBAGALA CHAMAZI MZAMBARAUNI. Ina vyumba vya kulala 4 ( 2 vyoo ndani) Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Vilevile kuna Banda lenye vyumba 5. WAHI KUONA UFANYE MAAMUZI MAPEMA _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________ Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam