Details
Description
Hii ni nyumba ya kizamani yenye jumla ya vyumba 11. Vyote vina Wapangaji. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 360. Eneo ni GONGOLAMBOTO, MAJOHE/CHUO CHA RADA Ni jirani na Kituo cha Daladala. Nyumba ina Tiles na Gypsu. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuina ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________mskv