04.05.2025Dar es Salaam

MADUKA-5, VYUMBA 2 MAGOMENI

TZS 270 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
350 m2

Description

Hapa ni MAGOMENI-MAPIPA. Hii ni nyumba ya BIASHARA ambayo inaangalia Barabara ya Lami ya Mtaa. Kuna MADUKA/FREMU-TANO (5) Yote yana Wapangaji sasahivi. Kodi kila Duka moja kwa Mwezi ni Tshs.250,000. Vilevile kuna nyumba yenye vyumba viwili (2) nyuma. Eneo lina Ghorofa za Biashara na Makazi za kutosha. _________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. _________llk

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam