Details
Description
Hapa kuna BAR yenye Kaunta 2 kubwa na LODGE yenye jumla ya vyumba vya kulala 10. Majengo yote katika Kiwanja kimoja. Pia kuna nyumba yenye vyumba 3 na Banda lenye vyumba 2 nyuma. HII NI SEHEMU YA BIASHARA. UUZWAJI UNASIMAMIWA NA BANK. Kiwanja kina ukubwa wa SQ.M. 3150. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ________mpg Kukagua taarifa mapema tafadhali.