Details
Description
Hiki Kiwanja kinaangalia Barabara ya Lami inayotoka SINZA kuelekea MAGOMENI KANISANI. Kwasasa kuna Jumba la kizamani la kupiga chini. Panafaa kuweka Jengo la kisasa la Biashara kama : MADUKA, OFISI, SHOWROOM nk. Ukubwa wa Kiwanja ni SQM. 700. Umiliki ni LESENI YA MAPAKAZI. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________hs Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.