Details
Description
Hapa Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000. Kina MAPAGALE 4. Ambayo yameishia kwenye hatua ya ujenzi ya Linta. Haya yalijengwa kwa minajili ya nyumba za kupangisha (Apartments) za vyumba 2. Eneo limebaki kubwa na unaweza kuendea kujenga mengine au tena kubuni kuyatumia kwa shughuli mbadala kama Shule ya Watoto, Zahanati nk. Hapa ni MAKABE, MBEZI MWISHO. Mita 800 kutoka Barabara ya Mbezi/Makabe. _______ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) _______mpg