Details
Description
vyumba 8 vyumba vinne nyumba kubwa, uani vyumba 4 vya ziada, fremu tano za biashara mbele, nyumba ipo sokoni tandika, jiko, vyoo na bafu 2 nje, umeme upo, maji hakuna, area 300 square meters, Ina offer. Bei 300,000,000 Milioni đ/WhatsApp 0758218269 Ishai Real Estate Simu yako dalali wako đïž