04.03.2025Dar es Salaam

INAUZWA NA BANK MATOSA

TZS 53 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1200 m2

Description

WAHI NJOO UJIOKOTEE. Hii nyumba IMEPOROMOSHWA Bei sasa. Ukiiokosa sasa tusilaumiane. NI YAKUHAMIA. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Eneo ni GIBA MATOSA. Vyumba 3 (Masta Pia Ina Sebule,Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 1,200. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________jj

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam