03.02.2025Dar es Salaam

INAUZWA NA BANK MAKONGO

TZS 195 000 000

Details

Terms
Monthly in advance
Price per square unit
No
Square units
1000 m2

Description

Hii ni nyumba kubwa ya kisasa na ambayo ina nafasi. Eneo ni MAKONGO JUU. Kiwanja SQM. 1,000. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Vyumba 3 (Masta 1) Pia kuna Sebule, Jiko,Dining-room,Store na Choo cha Familia ndani. __________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu. __________mpg Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.

Dalalitz G.

Member since 2024.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Dar es Salaam