Details
Description
Wahi kuikagua hii nyumba na ufanye maamuzi mapema kabla haijawahiwa. INAUZWA NA BANK KWA RIDHAA YA MMILIKI. IPO KILUVYA MAKURJNGE/KWA SUMAYE. Wastani wa kikomita 7 kutoka Barabara ya Morogoro . unashukia KILUVYA MADUKANI.. Kiwanja kina SQM.1,600. Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO. Ni pakjbwa. Unaweza kujenga zaidi au kufanya shughuli za ufugajk. Vyumba 3(Masta 1) Pia kuna Banda la Vyumba 2. ________ ANGALIZO: Malipo ya Dalali ni 10% Kuona ni Tshs.50,000. (Unalipa wewe MNUNUZI) ________mpg