25.04.2022Tanzania, Morogoro

INAUZWA MOROGORO MJINI MTAA WA AZIMIO

TZS 70 000 000

Description

Nyumba inavyumba vinne vyumba viwili ni master bedroom sitting room dining room kitchen store toilet pablic ukubwa wa eneo ni SQMT 800 document hati ya mauziano ya selikali ya mtaa eneo limelasimishwa na kupandwa mawe// galama za kwenda kuona nyumba ni za mteja

Emmanuel Bembe

Member since 2021.
xxx xxx xxx xxx

User

Location

Morogoro