Description
Nyumba inavyumba vi3 vya chumba kimoja master bedroom, Ina setting room dining room, nyumba umeme bado tailzi bado nyumba mpya kabisa, eneo lake ni sqm 2000 documents Hati ya mauziano serikali za mtaa, njoo ukague tafanye biashara garama za kupelekwa saiti kuona ni elfu 20,