Description
Nyumba ipo Madale mivumoni, nyumba ipo Kilometer 1 na nusu kutoka barabara kubwa ya lami inayoenda Tegeta. Nyumba inavyumba vi3 vya kulala kimoja master bedroom Ina setting room dining room kitchen store public toilet, nyumba ipo vizuri, pia haina mgororo wa aina yoyote, mteja unakaribishwa muda wowote kuja kukagua garama za kupelekwa saiti ni elfu 20,000/=